Askari Magereza mbaroni kwa kumpa ujauzito mwanafunzi Askari mmoja wa Jeshi la Magereza, Said Mganda wa gereza la Mkwaya, Mbinga anashikil...
Read More
Showing posts with label Matukio. Show all posts
TANZIA BABA YAKE BELLE9 AMEFARIKI DUNIA
Msanii Belle 9 amefiwa na baba yake mzazi mzee Damian aliyefariki usiku wa kuamkia leo akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali. . . Meneja ...
Read More
SERIKALI YA ZIMBABWE YAPITISHA SHERIA YA KUTUMIA MIFUGO KULIPA ADA ZA SHULE
Serikali ya Zimbabwe imeruhusu wazazi kulipa ada kwa mifugo au kwa kufanya kazi ktk shule husika kama malipo. Waziri wa Elimu, Dr. Lazarus...
Read More
BINADAMU MZEE KULIKO WOTE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 117
mzee kuliko wote duniani amefariki jana huko Italia, alikuwa na umri wa miaka 117. Emma Morano alizaliwa tarehe 29 Novemba 1899, katika mko...
Read More
Mbunge Kenya aja na mbinu ya kutibu UKIMWI bila kutumia dawa
Mbunge wa Magarini katika Kaunti ya Kilifi, Harry Kombe amesema kuwa anaweza kutibu ugonjwa wa UKIMWI pamoja na magonjwa mengine bila kutum...
Read More
POLISI WADAIWA KUUAWA KWA RISASI
KIBITI Ikwiriri. Polisi saba waliokuwa doria katika Kijiji cha Jaribu mpakani mwa wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kuuawa ...
Read More
WAZIRI MKUU: TOENI TAARIFA ZA AJIRA KILA ROBO MWAKA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka ya serikali za mitaa, wizara na taasisi zote zitoe taarifa za ajira zinazozalishwa kutokana ...
Read More
Msichana anayeugua ugonjwa wa kuzeeka afariki A. Kusini
Afrika Kusini inaomboleza kifo cha Ontlametse Phalatse, msichana wa umri wa miaka 18 ambaye alikuwa anaishi na ugojwa unaojulikana kama Prog...
Read More
MWILI WA MWANAUME WAKUTWA UMEFUKIWA MISITU YA MAGWEPANDE
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Onoratus Mwinuka aliyepotea wiki mbili, mwili wake umekutwa umefukiwa kwenye pori la Mlolo Mabwepande nje ki...
Read More
Mwigulu awachana wabunge Ridhiwani Kikwete, Hussein Bashe, Zitto Kabwe juu ya kukaa kimya kufatia sakata la kutekwa kwa 'Roma'
Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu leo amewatolea majibu wabunge waliokuwa wakihoji juu ya ukimwa wake Bungeni kufatia tukio la kutekwa kwa M...
Read More
KAULI TATA ZA NAY WA MITEGO
1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua. #Wapo☝🏾️ 2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, ...
Read More
PROF. MAGHEMBE: KUANZIA MAY MWAKA HUU MARUFUKU KUSAFIRISHA MKAA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe ametangaza mabadiliko muhimu katika biashara ya mkaa nchini na kubainisha kuwa agiz...
Read More
GWAJIMA, WENZAKE KUJITETEA KORTINI LEO
Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima na wenzake watatu wataendelea kujitetea leo katika mahakama ya hakimu mkazi Kisu...
Read More
MVUA YASABABISHA VIFO, MAJERUHI NA WENGINE 170 KUKOSA MAKAZI
Takriban miezi sita baada ya kuathirika na tetemeko la ardhi, wakazi wa Bukoba wamefikwa na maafa mengine ya mafuriko yaliyosababisha watu ...
Read More
7 WASIMAMISHWA KAZI KWA UBADHIRIFU WA MIL 900/-
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imewasimamisha kazi watendaji waandamizi na wakuu wa idara saba wa manispaa hiyo kwa tuhuma za ubad...
Read More
MACHIMBO YALIYOFUKIA WANNE PUGU FRESH YAGEUZWA KABURI
Shughuli ya uokoaji watu wawili waliobaki baada ya watu wanne kufukiwa katika kifusi katika machimbo ya kokoto yaliyopo eneo la Golani, Pug...
Read More
MAWAZIRI WA KIGENI G7 WAKUTANA ITALIA KUIJADILI SYRIA
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amewasili nchini Italia kwa ajili ya kikao na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi saba zilizo...
Read More
NAPE: TUTAPATA SHIDA 2020
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema matendo ya utekaji nyara wananchi yasipotatuliwa yatakipa shida...
Read More
Sasa ni Gwajima Vs Halima Mdee, aambiwa "Koma"
Kuhusu Halima Mdee, Leo wakati akihubiri katika Ibada ya Ijumapili katika kanisa lake la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo Jijini Dar es Salaa...
Read More
NAPE AITWA NA WAZEE
Wazee wa Jimbo la Mtama siku ya leo wamemuita Mh Nape Nnauye kumuombea dua na kuongea naye kwa yote yaliyotokea kipindi cha nyuma.
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)
