Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa atalazimika kuvunja kambi



ETHIOPIA: Chama cha Soka(EFF) kimeufuta mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars uliokuwa ufanyike Oktoba 8, yadai hali ya hewa sio nzuri.

Kocha Mkuu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa atalazimika kuvunja kambi ya timu hiyo ambayo iliwekwa kwenye Hoteli ya Blue Pearl iliyoko Ubungo, Dar.