ODINGA KUPEWA SAPOTI NA MAREKANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2017 . SHIRIKA lisilo la kiserikali lenye makao makuu nchini Kenya lilikutana na ki...
Read More
Showing posts with label Siasa. Show all posts
Trump Atuma Jeshi la Marekani Kupambana na Al-Shabaab
Trump Atuma Jeshi la Marekani Kupambana na Al-Shabaab Rais wa Marekani, Donald Trump ameagiza vikosi kadhaa vya jeshi la nchi hiyo kuingia ...
Read More
Mwigulu awachana wabunge Ridhiwani Kikwete, Hussein Bashe, Zitto Kabwe juu ya kukaa kimya kufatia sakata la kutekwa kwa 'Roma'
Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu leo amewatolea majibu wabunge waliokuwa wakihoji juu ya ukimwa wake Bungeni kufatia tukio la kutekwa kwa M...
Read More
Sugu: Mbunge Mlinga wa CCM Anatukana Mbona Naibu Spika Anamlinda Tukiomba Mwongozo..!!!?
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi amehoji inakua vipi mbunge wa Goodluck Mlinga wa CCM amekuwa akitukana wapinzani mara kwa mara bungen...
Read More
HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki
HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki , akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa. 'C...
Read More
BASHE : KUNA KIKOSI MAALUM KINACHOENDESHA UTEKAJI NDANI YA USALAMA WA TAIFA
Mbunge wa jimbo la Mnzega Mjini Mh.Hussein Bashe amesema kuwa kuna kikundi maalumu cha utekaji kilicho ndani ya Idara ya usalama wa Taifa n...
Read More
7 WASIMAMISHWA KAZI KWA UBADHIRIFU WA MIL 900/-
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imewasimamisha kazi watendaji waandamizi na wakuu wa idara saba wa manispaa hiyo kwa tuhuma za ubad...
Read More
MAWAZIRI WA KIGENI G7 WAKUTANA ITALIA KUIJADILI SYRIA
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson amewasili nchini Italia kwa ajili ya kikao na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi saba zilizo...
Read More
NAPE: TUTAPATA SHIDA 2020
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema matendo ya utekaji nyara wananchi yasipotatuliwa yatakipa shida...
Read More
Sasa ni Gwajima Vs Halima Mdee, aambiwa "Koma"
Kuhusu Halima Mdee, Leo wakati akihubiri katika Ibada ya Ijumapili katika kanisa lake la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo Jijini Dar es Salaa...
Read More
NAPE AITWA NA WAZEE
Wazee wa Jimbo la Mtama siku ya leo wamemuita Mh Nape Nnauye kumuombea dua na kuongea naye kwa yote yaliyotokea kipindi cha nyuma.
Read More
MAALIM SEIF: HAKUNA CUF YA MAALIM WALA CUF YA LIPUMBA
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chama hicho kitaendelea kufanya mambo kiungwana kwa kuwa Tanzania ni n...
Read More
MAREKANI YAELEKEZA MASHAMBULIZI YA MAKOMBORA KWENYE ANGA LA SYRIA
Usiku wa kuamkia leo Marekani yashambulia kwa makombora 59 ya kijeshi yaliyoelekezwa katika ngome ya Jeshi la anga la Syria. Mashambulizi ...
Read More
Nape kuwaeleza ukweli wapiga kura wake jumamosi hii
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ametoa shukrani kwa wote waliomuunga mkono katika kusimamia haki huku akisema kuwa ataenda kuwaeleza wananchi w...
Read More
Majina ya Wabunge Afrika Mashariki waliochaguliwa
Jana Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipiga kura kuchagua wabunge watakaoiwakilisha nchi katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashar...
Read More
PROF: KITILA AMSHUKURU JPM KWA UTEUZI
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Kitila Mkumbo amemshukuru Rais Magufuli kwa kumteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwag...
Read More
JK: NI ZAMU YA KUMUUNGA MKONO MKE WANGU
Dar es Salaam. Baada ya kupokelewa kwa shangwe katika ukumbi wa bunge leo hii, Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema ni zamu yake kw...
Read More
MAMA SALMA AAPISHWA RASMI LEO BUNGENI
Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai leo amemuapisha mke wa rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, Salma Rashid Kikwet...
Read More
Alichokiandika Zitto Kabwe baada ya Katibu wa Bunge kutoa Ufafanuzi
Baada ya Katibu wa Bunge kutoa ufafanuzi kuhusu uwakilishi wa vyama katika uchaguzi wa Bunge la Afrika la Mashariki, Kiongozi wa Chama cha A...
Read More
Majaliwa: Hakuna aliye juu ya sheria
SERIKALI imesema kuwa hakuna mtu aliyekuwa juu ya sheria na mamlaka ya kuwanyanyasa watu wasiokuwa na uwezo kwani Sheria haiangalii nafasi ...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)
