Mwigulu awachana wabunge Ridhiwani Kikwete, Hussein Bashe, Zitto Kabwe juu ya kukaa kimya kufatia sakata la kutekwa kwa 'Roma'


Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu leo amewatolea majibu wabunge waliokuwa wakihoji juu ya ukimwa wake Bungeni kufatia tukio la kutekwa kwa Msanii Roma....

"Wanasema mbona sisemi juu ya kinachoendelea, hii ni Wizara ambayo siyo kila kitu ni habari, Wizara ina vyombo"

"Lazima tutoe fursa kwanza vyombo vilivyo chini yangu vifanye kazi kabla ya mimi kuzungumza" Waziri Nchemba