NISHABEBEE: Baada ya Skendo ya Mimba atoa ya Moyoni (mtu pekee anayejua ukweli ni mimi)

Msanii anayefanyanvizuri katika tasnia ya Filamu hasa katika filamu za Vichekesho amekuwa gumzo baada ya sitofahamu kuhusu Mimba yake, baada ya kupost ujumbe tata kwenye mtandao wa Instagram. Na jana ametoa ya moyoni kuhusu siri ya Ujauzito huo.

Nisha Bebee


Ujumbe alioandika Mtandaoni mtu pekee anayejua ukweli ni mimi.. pengine kweli nimekosea kwa kuweka hapa na kusema nanunua hadi sabuni ya  boxer.
ila kama ungevaa kiatu changu ungejua nnayopitia wkt huu.
coz ni kipindi ambacho siwezi vumilia kero wacha niwe mkweli wa hili,ni bora uwe na mtu ambaye mko kwenye mahusiano ndo akakupa mimba,kuliko hamko kwenye mahusiano akatumia rafiki zako anataka kukuona then kwa suprise akaja ukashindwa mfukuza coz hamkuachana kwa ugomvi  na was like hamna kinachoendelea then rafiki yako alipoondoka akakubaka kisa tu ana nguvu za kukumiliki na anajua udhaifu wako.
kinachoniuma zaidi  zaidi ni kuwa kwenye mahusiano mengine na kupata mimba ya mwengine wakati uhusiano ulikwisha kwisha na akamove on na mwingine na mm niko ok kwa hilo ilhali yalisemwa mengi ya uongo na mm nikajitajidi kutofichua siri za niliyewahi kumpenda.
i've been through a lot... FUCK U AND I HATE U FOR THIS.
nb:huyo mnayemtaja taja siye kabissaaaa ndo kwanza nna miezi mitano na mnayemtaja simjui miezi 8 

Picha aliyopost akionyesha ni Mjamzito