MAMBO MATANO ATAKAYOYAFANYA RAIS MAGUFULI AKIWA KENYA

Wakati wa ziara yake ya siku mbili Kenya Rais Magufuli, kwa mujibu wa ikulu ya Tanzania, anatarajiwa: Atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta Atatoa heshima katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta.


Atahudhuria dhifa ya kitaifa atakayoandaliwa na mwenyeji wake Ikulu Jijini Nairobi. Atatembelea kiwanda cha maziwa cha Eldoville kilichopo Karen Jijini Nairobi Atazindua barabara mchepuko (Southern By-pass) iliyopo jijini Nairobi.

#bbc