Mkuu wa Wilaya Sengerema amewasweka ndani wafanyakazi wa halmashauri hiyo



MWANZA: Mkuu wa Wilaya Sengerema, Emmanuel Kipole amewasweka ndani saa 12 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri, Oscar Kapinga na Kaimu Mhasibu wa halimashauri hiyo, Paul Sweya. Hatua hii imechukuliwa baada ya kutokutii agizo lake aliliowapa la kutafuta fedha za kuwalipa wanaofanya usafi katika mazingira ya mji.