Alichandika LULU Mtandaoni Kuna wakati baadhi ya watu watakuongelea kwa maisha yako uliyowahi kupitia au unayopitia(Mara nyingi negative side)
Binafsi sijawahi kujisikia vibaya mtu akiniongelea kwa mapito yangu au mabaya yangu...Unajua kwanini!?Ninaamini maisha yangu ni Testimony(Ushuhuda) pengine ushuhuda wa kutoka kwenye kinywa changu mwenyewe ungewafikia watu wachache lkn kwa kupitia watu wanaohisi wananiumiza kwa kuongelea Mapito yangu pengine unaweza kufikia wengi zaidi....Hata mm NILIPONA na Kupata NGUVU NYINGINE kwa Shuhuda za watu na ninaamini kupitia hayo mapito yangu wapo watakaopata nguvu nyingine na kupona....Kwa kukaa kwako kimya na kuona aibu ya uliyopitia inawezekana ukapoteza KUPONA kwa wengi wanaopitia kama uliyoyapitia,ulipita ili uwe FUNDISHO na BARAKA kwa wengine USIONE AIBU
SIJIVUNII Mapito Yangu lakini SIYAONEI AIBU pia.
#