![]() |
| Jay Dee |
Wawili hao wameonekana wakiwa Zanzibar wakifurahia uhusiano wao, Jay Dee amepost picha zao wakiwa Zanzibar katika Hotel ya Serena.
![]() |
| "Big shout out kwa Coastal air. Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland." Aliandika |
![]() |
| Jay Dee na Mpenzi wake Mpya |



