Ni baada ya kubaini hakina kibali cha TFDA. Viroba hivyo pia havina usajili wa TFDA na havina za namba za toleo ya kutambua uhalali wa uzalishaji wake. Havina tarehe ya kuzalishwa na wala ya kuisha muda wa matumizi. Hivyo ni ngumu kutambua ubora wake na idadi yake halisi kwa maksudi ya kulipa kodi ya serikali.
Siku ya jana Naibu waziri wa Afya aliongozana na Timu yake ya serikali na wanausalama kusaka viroba feki na pombe nyingine kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kukifumua kiwanda bubu kinachotengeneza konyagi na smirnoff feki maeneo ya Sinza.