Ukweli kuhusu kupatikana kwa Msanii Roma na Wenzake

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Msanii Roma na wenzake wote wamepatikana, na sasa wapo kituo cha Polisi Osterbay Dar es salaam