TFF yajitosa sakata la Yanga kukodishwa kwa miaka 10



TFF yajitosa sakata la Yanga kukodishwa kwa miaka 10, yamtaka Katibu Mkuu kuonyesha mkataba walioingia na kampuni ya Yanga Yetu.

TFF yataka mkataba uwe wazi ili hata klabu zingine zijifunze, Yanga imetakiwa kuleta nakala ya mkataba unaoonyesha nini kinaazimwa na kipi kinauzwa.