Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Huduma za Habari tayari kusainiwa na Rais
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa sheria na tayari kupelekwa kwa muheshimiwa Rais kwa ajili ya kuwa sheria.
=======
Bunge leo limeupitisha Muswada wa Huduma za Habari tayari kusainiwa na Rais ili kuwa sheria kamili. Katika muswada huo makosa ya Mwandishi hayatagharimu chombo chake cha habari.
Jana Rais Magufuli wakati akifanya mahojiano na wahariri wa vyombo vya habari alisema ukifika mezani kwake hautafikisha dakika bila kusainiwa.