Weekend hii ameonyesha yuko tayari hata kunywa dawa za kupungaza mwili ili aweze kuvaa hata nguo zake za zamani. Na hii inatuma tafsiri kuwa Wema haupendi unene ambao anao kwa sasa. Na aliyaandika haya Instagram Nafanya nini niupate huu mwili tena jamani.... Hii gauni inifit hivi hivi.... maana ninayo ndani na sina mpango wa kuigawa... mpaka niweze kuivaa tena.... Au nianze kutumia madawa....



Labda ntapungua..... Bwaaaana Im serious tho..... I want my body back...
![]() |
Anatamani aweze kuvaa nguo hii tena |