Fursa ya ufadhili wa masomo ya Elimu ya Juu nchini Korea(2017-2022)



Fursa ya ufadhili wa masomo ya Elimu ya Juu nchini Korea(2017-2022) kwa Watanzania wahitimu wa kidato cha sita.
Nafasi hii ni kwa vijana wasiozidi miaka 25 tu.