Maneno ya Barakahtheprince kwa Mpenzi wake Naj, huu unaitwa Upendo wa dhati

Maneno ya Barakahtheprince Ni kipindi kirefu tangu nimekujua....takriban mwaka sasa tumeishi pamoja na ukaniruhusu kukujua vizuri na tangu nimekujua sijajutia kukujua. Nafahamu unaheshimu mahangaiko yetu yakutokulala usiku na mchana kwaajili ya kutafuta. Na mara nyingi unaniaaminisha mi ni mshindi we ni mwanmke bora sana kwangu umenifanya nimekua. Na mengi yakuandika ila leo naomba nikutakie siku yamfanano na yakuzaliwa kwako my angel...Happy birthday Naj wangu I love you so so much na unajua hilo. @najdattani #IamPrince