Pongezi kwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Right Wacth limemtaja kiongozi wa upinzani Mh.Freeman Mbowe kuwa ni mwenyekiti wa kwanza Afrika wa chama cha siasa asiyepokea mshahara ndani ya chama chake na pia ametajwa kuwa ni kiongozi aliyeleta mageuzi makubwa ya kisiasa Tanzania na anaeendesha shughuli za kisiasa bila kuvunja haki za kibinadamu