Alikiba Afunguka Kuhusu Ugomvi wake na Hakeem 5

Msanii Mkongwe katika muziki wa bongofleva Abby Skills @officialabbyskills ambae kwa sasa anatamba na kibao chake cha #Averina alichoshirikiana na @officialalikiba alianza kusema Hakeem 5 lazima amuombe msamaha Ali Kiba ili wafanye kazi tena na mambo yake yaende sawa.Ilikuja baada ya Hakeem five Kumshutumu Alikiba kuwa hana Roho nzuri na Alikataa kufanya nae kazi.



Baada ya tuhuma hizo "Ali Kiba alisema “Kuhusu Hakeem 5, naweza kusema kwanza ni ndugu yangu kama Abby Skills na wengine. Tunaheshimiana nae sana. Sina ugomvi nae, tumefanya kazi nae kwa mapenzi yote tulipokuwa lebo moja G-records.

Kuhusu colabo na kutofanya video ya wimbo wa Hakeem 5 Kiba anasema “Ishu ipo hivi, nakumbukuka kabla sijapumzika kimuziki kipindi kile tulifanya kazi na Hakeem 5, nakumbuka ilikuwa inaitwa MADEBE. Baada ya kuitoa ilifanya vizuri, then nikaamua kupumzika miaka mitatu.

Niliporudi rasmi akanifata tufanye video! Nikamwambia kweli?? Upo serious! Yani nyimbo ina miaka, then tuifanye video kweli. Ni Unprofessional kwa kweli,Labda ingekua nyimbo mpya na idea mpya ndio tungefanya kazi. Kiba aliniambia “Sijamkosea Hakeem 

@officialalikiba
Anaendelea Kusema hana bifu wala afikirii bifu lolote na Msaniii Yeyote wa ndani na Nje ya Tanzania
Prepared By @reallybyser as Mh.Mbunge Mwalihanyike