UJUMBE WA UTATA AMBAO AMETOA MPENZI WA ZAMANI WA WEMA SEPETU MTANDAONI



KAYAANDIKA HAYA When we see someone stupid and they don't know they are stupid because they are too stupid to know but we still love them with their stupidity
(Ukimuona mtu mjinga na hajui kama ni mjinga kwasababu ni mjinga sana kujua ni mjinga ila bado tunawapenda na ujinga wao)
.
Lets keep voting we bring these awards home, link on my bio wolves 🐺 #TupendaneHiviHivi #KichaaHaponiAnapataNafuu 

NA HII
Dear Mchepuko,
Ni matumaini yangu unaweza kutembea sasa, ningependa kukuambia kuwa umeacha nguo yako ya ndani jana kwangu sasa sitaki kuonekana kama sijali, naomba uifuate haraka kabla mambo yako ya kimaisha hayajaanza kuporomoka ukaanza kutafuta mwizi wa nguo za ndani wakati uliiacha mwenyewe na nikinukuu maneno yako ya mwisho "WE MWANAUME NI MUUAJIIIIIIIIIIIIIIIIIII" kisha ukabeba nguo zako ukatoka ukakimbia na viatu mkononi. Ni hayo tu nakutakia asubuhi njema.
Wako katika mauaji,
Idris Sultan. 
#NiliKuambiaLakini