NAY WA MITEGO AMEFIKISHWA POLISI DSM, NA HAWA NDIO MAWAKILI WAKE

Kwa mujibu wa wakili Msomi Peter Kibatala amesema kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa...

Peter Kibatala "Nay wa Mitego amefikishwa Central Police Station, Dar es Salaam. Yuko salama na imara; amekula pia. Kwa kuwa amefika jioni sana; hakuna kilichoweza kufanyika leo.

Wakili Faraji Mangula alifika pale, na kesho tutapigana afikishwe Mahakamani au apewe dhamana.

As usual; we never leave a soldier of the struggle behind enemy lines. Tutasimama naye mpaka mwisho."