BARAKAH THE PRINCE ASEMA NDANI YA LABEL YAO 'ROCKSTAR4000' HAWAFANYI VITU KWA KUIGANA

BARAKAH THE PRINCE ASEMA NDANI YA LABEL YAO 'ROCKSTAR4000' HAWAFANYI VITU KWA KUIGANA. Msanii wa muziki wa Bongo fleva, Barakah The Prince amsema kila msanii ambae yupo chini ya RockStar4000 ana mipango yake na hawafanyi vitu kwa kuigana kwa sababu fulani kafanya.

Mkali huyo wa single ya 'Acha niende" pia amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwaajili ya ujio wa albamu yake ya kwanza.

Muimbaji huyo amesema albamu hiyo huwenda ikatoka katikati ya mwaka huu au mwisho wa mwaka kutegemea na maandalizi na uwamuzi wa label yake. . .

Kupitia Planet Bongo ya EATV @barakahtheprince_ amesema “Albamu yangu ya kwanza inatoka chini ya RockStar4000 na itatoka mwaka huu katikati au mwishoni,” #letitshine - https://www.instagram.com/p/BTBQMqHjTW4/ Regrann App - Repost without leaving Instagram - Download Here : http://regrann.com/download