Bohari Kuu ya Dawa nchini(MSD) inakabiliwa na upungufu mkubwa

Bohari Kuu ya Dawa nchini(MSD) inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madawa, Serikali imeipa 32% ya fedha inazotakiwa kupata.


Serikali ilipaswa kutoa Shilingi Bilioni 62.5 kwa MSD katika kipindi cha Mwezi Julai mpaka Septemba 30. Lakini mpaka leo imeipa MSD kiasi cha Bilioni 20 tu.