Bata la hatari la Diamond na Zarithebosslady laendelea huko Zanzibar

Baada ya kusherehekea Siku ya kuzaliwa ya Mpenzi wake Zari. Diamond na mpenzi wake wameendelea kusherehekea sikukuu hiyo.