Maneno Mazito ya Baba AMINA CHIFUPA kwa Shamsa Ford

Kama ilivyokuwa ni utamaduni wa Wazazi wa kiafrika kuwaasa mabinti zao na vijana wao ambao wanaingia katika mahusiano na Ndoa ili kuwapa hamasa na moyo wa uvumilivu vijana wao katika ndoa zao, Msanii wa Maigizo Shamsa Ford alipewa maneno ya Hekima na Baba Mzazi wa marehemu  AMINA CHIFUPA

Nilipokutana na baba yake marehemu AMINA CHIFUPA,La kwanza alinipongeza kwa KUOLEWA, la pili aliniambia nimuweke Mungu mbele kwenye ndoa yangu kwasababu ndo kinga ya ndoa yangu. La tatu  aliniambia niwe mke wa Kitanzania au wa Kiafrica kwa mume wangu .ustar niuweke kando ..la mwisho aliniambia niitunze ndoa yangu kwa mapenzi yote lakini nisisahau KAZI  yangu iliyonitambulisha KUWA SHAMSA FORD. ..MAY GOD REST THE SOUL OF THE LATE AMINA CHIFUPA IN PEACE. ...THANKS DADY