Waziri Nape Nnauye ameijibu Marekani kufuatia kauli yao kuhusu hali ya Demokrasia nchini

Waziri Nape Nnauye ameijibu Marekani kufuatia kauli yao kuhusu hali ya Demokrasia nchini, ameitaka ijinyooshee kidole yenyewe kabla haijaingilia mambo ya Tanzania.


Amesema kuwa Sheria ya makosa ya Mtandao ya Marekani ni kali kuliko ya Tanzania