MAPICHA: Diamond asherehekea Siku ya Kuzaliwa ya Zarithebosslady huko Zanzibar

Zarinah Hassan Nasur ambaye ni Mke wa msanii Diamond Platnumz jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa. Na sherehe yao wanasherehekea wakiwa Zanzibar pamoja na mtoto wao Tiffa. Pamoja na sherehe hiyo Diamond alipost picha za Mjengo wao wa South Africa.


 Anything for her😍😙😍... #Zarisbirthday #ZarinahWeekEnd #Zanzibar












































Haka katakuwa ka #salome ka nani?