Mastaa Waliozaliwa Septemba 23 kutoka katika Mitandao ya Kijamii Zarithebosslady yumo

Katika Mitandao ya Kijamii kumekuwa na Utaratibu wa Kupost picha za staa na Birthday wish kwa staa ambaye amezaliwa siku hiyo. Siku ya leo Staa ambaye amepostiwa mara nyingi katika mtandao wa Instagram ni Zarinah Hassan Nasur ambaye ni Mke wa msanii Diamond Platnumz. Na sherehe yao wanasherehekea wakiwa Zanzibar pamoja na mtoto wa Tiffa.



























Staa mwingine ni Asha Manga ambaye ni Produer wa Kipindi cha Uhondo toka Redio ya E-fm huyu naye anaungana na Zarinah Hassan Nasur kusherehekea siku yao ya kuzaliwa. Kama na wewe ni mmojawapo wa waliozaliwa siku ya leo nikutakie "Happy Birthday"


Asha Manga