Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ametunukiwa Tuzo na taasisi ya Speak Up Africa ya jijini New York.

MAREKANI: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Uongozi wa Kisiasa na Utetezi na taasisi ya Speak Up Africa ya jijini New York.





















Tuzo hiyo ni kutambua jitihada na juhudi zake za kufikisha huduma za jamii hususani afya kwa wanawake na watoto