CHADEMA wapuuza taarifa ya Jeshi la Polisi kuruhusu mikutano ya ndani

CHADEMA wapuuza taarifa ya Jeshi la Polisi kuruhusu mikutano ya ndani ya vyama vya siasa. Wamesema kisheria polisi hawana mamlaka ya kuzuia au kuruhusu.

Wamedai polisi wameruhusu mikutano ya ndani kwa sababu CCM wamepanga kuanza vikao vyake vya ndani.