Bodi ya mikopo kutotoa mikopo kwa waombaji wapya baada ya TCU kushusha viwango vya ufaulu

Bodi ya mikopo kutotoa mikopo kwa waombaji wapya baada ya TCU kushusha viwango vya ufaulu, imesema huhitaji muda mrefu kuchambua maombi.




















Bodi imesema tofauti na TCU ambayo inaweza kufungua udahili na kutoa majina ya wale waliopata nafasi ndani ya siku tatu, HESLB huhitaji muda mrefu kupitia taarifa za waombaji hadi kutoa matokeo.