Taasisi ya TWAWEZA wanazindua ripoti ya utafiti kuhusu, "Demokrasia, Udikteta na Maandamano



Leo Taasisi ya TWAWEZA wanazindua ripoti ya utafiti kuhusu, "Demokrasia, Udikteta na Maandamano: Wananchi wanasemaje?" Japokuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa ikipokea pongezi nyingi kwa kupambana na utendaji mbovu na ufisadi, lakini inakosolewa kuhusu masuala ya Demokrasia.