Rais Magufuli amuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB



Rais Magufuli amuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB kuwachukulia hatua maafisa wa benki hiyo walioshiriki kufungua akaunti hewa ya maafa ya tetemeko. 
Rais amesema lazima kulikuwepo na mtandao kati ya wafanyakazi wa benki na wale wa serikali. Raisi ameagiza hili Baada ya kutengua uteuzi wa Katibu Tawala na Muhasibu wa Mkoa wa Kagera.