Wastara apata Mkataba Mnono wa Millioni 400




















Maneno ya Wastara baada ya kupata Mkataba leo tal 28 nimesain rasmi mkataba wa kuwa balozi wa company ya uuzaji wa sim ya china KZG
kuanzia leo mim wastara juma issa nimeanza rasmi kazi ya ubalozi wa KZG itakayoningizia milion 400 kwa mwaka 
kikubwa ni kunisupot kwa kila hatu naimani ndani ya mafanikio yangu nyuma yake kuna watanzania wenzangu wengi watakao nufaika na kujipatia vibarua kupitia wastara
asanteni kwa ushirikiano kwa wale woootw walihudhuria tukio hili