Jaji Joseph Warioba amesema kwa sasa nchi imepoteza mwelekeo

Jaji Joseph Warioba amesema kwa sasa nchi imepoteza mwelekeo katika masuala ya itikadi, Sera na maendeleo, badala yake imebaki kuongozwa kisiasa na matukio. 

Waziri Mkuu huyo mstaafu ameyasema hayo leo katika mhadhara wa Kivazi cha Mwalimu Nyerere.