Mrisho Mpoto akiri kuanza Kuvaa Viatu

Ikumbukwe kuwa kwa muda mrefu Msanii wa nyimbo za asili mrisho amekuwa akionekana katika majukwaa na hafla mbalimbali akiwa peku. Na huu umekuwa utambulisha wake, Baada ya SoudyBrown kuongelea tabia ya kutovaa viatu Mrisho mpoto kayaongeaa kupitia akaunti yake Instagram

@soudybrown mimi sijawahi kusutwa wala kusemwa paplic,  leo umenisuta umeniharibiaa siku yangu naomba ukome kuniingilia haya ni maisha yangu nilichagua mwenyewe!! 
























Siyo kwa kichambo kile @soudybrown wengine tuna presha za kusambaa mtaniua, wambea gani hata likizo hamuendi jamani? Haya furahi nyinyi sasa nimeanza mazoezi ya viatu.