Wema Sepetu ameyaandika haya katika Siku yake ya kuzaliwa



Ni takribani Siku tisa zimepita bila ya Wema Sepetu kutuma picha wala post yoyote katika mtandao wa Instagram. Ila leo katika Siku ya Kuzaliwa ameyaandika haya katika akaunti yake Instagram....

Wow... wow... wow... daah.. sijui cha kuandika.. am just out of words... Wema mimi nitamlipa nini Mungu kwa Neema na Baraka zake anazonijalia kila siku...?? Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa mumumu wangu, My family, my management, teamkazi wale kwa kufungua dimba last Night with that amazing suprise... alafu sasa huku insta, snapchat, twitter and kila site ambazo mmepost about My birthday nashindwa cha kusema.. toka nimeamka najitahidi kujibu kila post ninazoziona.. ila zinanielemea... ila ninajitahidi, nitajitahidi na nitahakikisha najibu Kila ambayo nakutana nayo... ila Daaah You Guys mnajua kupenda.. mpaka najiogopa kwa mapenzi mnayonipa.. what should i say?? Wakwe vepe?? Mawifi je?? Wake wenza nao ndani? Boyfriends🙈🙈 nacheka peke yangu..... And sometyms hadi machozi ya furaha yananitoka... Nimekuwa Cry baby wa kujitegemea tokea saa sita usiku.... Na nadhani zoezi litaendelea mpaka siku hii iishe.... Nawapenda jamani... #AmaBeBack