Barakahtheprince ajapendezwa na Matani ya Stanbakora baada ya Kuirudia Video ya Nisamehe

Barakahtheprince ajapendezwa na kitendo alichokifanya Stanbakora alipokuwa anairudia Video ya Nisamehe ambayo amemshirikisha Alikiba. Wachekeshaji wengi sasa wamekuwa wakizirudia baadhi ya video za wasanii kwa namana ya Kuchekesha. Katika video hiyo imeonyesha Stanbakora akiwa amejipaka rangi usoni na kuwa na mwonekano wa mtu mweusi sana.

Hii ndio Cover ya video ambayo Stanbakora aliituma katika akaunti yake ya Instagram na kusababisha majibu toka kwa Barakahtheprince
Picha aliyopost Stanbakora
Maneno aliyoandika Stanbakora  Usiache kusubscribe Youtube Chanel yng ili Uwe Wa kwanza Kuangalia #NisameheCover Kutoka Kwangu .

Majibu aliyotoa Barakahtheprince baada ya kuona Cover aliyopost Satnbakora yakionyesha kutokupendezwa na Cover alipost Stanbakora  Matani ni mazuri ila ya kizidi yanaweza kuleta matatizo... Heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee @stanbakora utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali...