Watu wengi huwa wananiuliza ni nini hasa siri ya mafanikio ya kiuchumi au utajiri??
Je, na mimi naweza kuwa tajiri? Nataka leo ujue kuwa ili uweze kuwa Tajiri kwanza yakupasa uwe na NDOTO YA KUFANIKIWA ya kwako wewe kama wewe na ninaposema ndoto simaanishi ya kuajiriwa maana ukishaajiriwa hapo unakuwa unamtimizia boss wako ndoto yake.

Ukishakuwa na ndoto weka MALENGO, ujue ni kiasi gani cha Mafanikio au Utajiri unachokitaka na kwa muda gani uwe umezifikia hizo ndoto, lakini pia hakikisha umejiwekea malengo makubwa
Baada ya kuweka Malengo anza kuyafanyia kazi, ila tambua kuwa hakuna mafanikio ya muda mfupi hivyo itakubidi uwe mvumilivu hadi kuhakikisha unapata mafanikio unayoyataka labda kuanzia Miaka 3-10
Na njia pekee ya kuwa tajiri ni kutafuta #FURSA ya Mradi/Biashara ya kufanya ili uweze kufikia malengo yako.
Matajiri wote unaowaona na kuwakubali ni kwamba walitafuta Fursa, wakaikamata na kuifanyia kazi.
Kuna Matajiri walioamua kumiliki biashara kutokana na kitu wanachopenda mfano Bill Gates na hivyo kufanikiwa.
Kuna walio wekeza kwenye Majengo (Real Estates) na wametoboa.
Kuna walioamua kuwekeza kwenye Hisa/Vipande mpaka leo hii ni matajiri wakubwa.
Kuna waliofanya biashara za madini na wakawa matajiri.
Kuna waliokamata fursa ya biashara ya mafuta mpaka wamekuwa matajiri wakubwa.
Kuna walioamua kujikita kwenye kutoa huduma mbalimbali kama Ushauri wa Biashara nk na wakafanikiwa.

Hivyo hata na wewe ukitaka kuwa tajiri kwanza kabisa tafuta Fursa yenye kukuletea Faida mbeleni.
Ila tambua hakuna njia ya mkato ambayo mtu ataipita ili kupata mafanikio, hivyo jitahidi uwe na mtizamo wa muda mrefu. Bila kusahau kutafuta MENTOR, ROLE MODEL au mtu aliefanikiwa ili akufundishe njia sahihi za kupitia kufikia mafanikio unayoyataka na kukusaidia uweze kuifanya biashara yako au mradi wako uwe endelevu.

Na ili uwe tajiri daima hakikisha kipato unachokipata kingine unajiwekea AKIBA na kiasi kingine unakiweka kwenye vitega uchumi vingine ili fedha iendelee kuzaa na kukua.
Changamoto zipo na hazikwepeki ila cha msingi unatakiwa uwe na UJASIRI na usiwe mtu wa KUKATA TAMAA.
Kama #ImepenyaIyo #TAG rafiki zako unaopenda wafanikiwe

Mwandishi:NOEL
#0659289597