![]() |
Mtoto wa Diamond |
Diamond ameandika haya Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa... kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake.... tusubiri tuone @zarithebosslady na @DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao...✍