MAMA DIAMOND: Alichoandika Mama Diamond baada ya Kupata Mjukuu

Mama yoyote yule pale mwanae anapopata mtoto na yeye huwa na furaha kubwa sana. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mama yake Diamond baada ya Mkwe wake Zari kujifungua mtoto wake wa Pili kwa Diamond.

Diamond na Mama yake


Tukio hilo limemfanya Mama yake Diamond kuandika Maneno haya ya Furaha kwa Mjukuu wake wa Kiume  Mume wamie asante mungu😍😍