Hiki ndicho kilichopelekea figisu kwa Alikiba alipokuwa jikwaa akitumbuiza Mombasa Rock Festival



Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Star wa Single ya AJE Ali Kiba wakati akihojiwa na mwanahabari nguli kutoka Nairobi nchini Kenya @mzaziwillytuva amekiri wazi huenda uwepo wa Meneja wa msanii Diamond back stage Ndugu Sallam Sharraf ndiye aliyesababisha figisu za yeye kuzimiwa MIC na kushushwa jukwaani wakati akitumbuiza pwani ya Mombasa katika Onyesho la Mombasa Rock Festival.