Rais Magufuli amewataka Watumishi wa Umma walioalikwa katika kilele cha sherehe za Mwenge ambazo zitafanyika tarehe 14 Oktoba kutohudhuria na warudishe posho za safari walizolipwa.
Viongozi waliotajwa kutakiwa kufuta safari zao ni pamoja na Wakuu wote wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri za Miji Mbalimbali, pamoja na Watumishi wote ambao huambatana na viongozi hao ambao wametajwa idadi yao hufikia takribani 1,500.
Home » Matukio
» JPM apiga stop viongozi wa mikoa na wilaya kuhudhuria sherehe za kuzima mwenge mkoani Simiyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)