Klabu ya Yanga leo imeingia mkataba rasmi wa kuikodisha timu



Klabu ya Yanga leo imeingia mkataba rasmi wa kuikodisha timu hiyo kwa mkataba wa miaka 10 kwa kampuni ya YANGA YETU LTD. 

Hatua hii imekuja wiki kadhaa baada ya mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji kuomba akodishiwe klabu hiyo kwa muda wa miaka 10