Mfanyabiashara Mohammed Dewji ametajwa kuwa kinara wa uchumi barani Afrika



Mfanyabiashara Mohammed Dewji ametajwa kuwa kinara wa uchumi barani Afrika, akishika nafasi ya kwanza kati ya wafanyabiashara vijana 100.

Taasisi ya Choiseul imekuwa ikiwatambua vijana mahiri katika biashara na mwaka huu, Dewji  ndiye aliyeibuka kinara.