Mtuhumiwa wa silaha na kumtoboa macho Kizimbani kujibu mashitaka



Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.
Mtuhumiwa huyo alipandishwa Kizimbani kujibu mashitaka ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kumtoboa macho yote Said Mrisho.