Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar(ZMA) imekanusha kusajili meli za Korea Kaskazini



Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar(ZMA) imekanusha kusajili meli za Korea Kaskazini kinyume na azimio la Baraza la Usalama la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Mamlaka hiyo imesema haijawahi kusajili meli yeyote ambayo ilikuwemo katika orodha iliyotolewa na Umoja wa Mataifa