Maneno ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli kutoa Kauli hii

Mtu hata kama ulipata fedha zako kivyovyote, nenda ukajenge kiwanda uache kuzificha ardhini- Rais@MagufuliJP



Maneno ya Zitto Kabwe Rais jenga mazingira ya sekta Binafsi kukua. Sekta binafsi SIO maadui. Lazima wadhibitiwe lakini sio kubanwa. Unaona Leo, tangu uwe Rais ( miezi 11 sasa ) kiwanda cha kwanza unachofungua Ni cha Sekta binafsi. Mtu wa kwanza kutaka kumkamata Kwa kukwepa Kodi Ndio wa kwanza kukuita ufungue kiwanda. Rais uwe unaweka akiba ya maneno Na vitendo.