Mauzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam(DSE) kwa wiki iliyopita yameongeza



DAR: Mauzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam(DSE) kwa wiki iliyopita yameongeza kwa 65% kutoka Sh. Bil 19.6 na kufikia bilioni 32.5. 

Afisa masoko wa DSE amesema idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimepanda zaidi ya mara nne kutoka milioni 2.4 na kufikia milioni 9 za kitanzania.