DAR: Kampuni ya UDART imepiga marufuku usafiri wa bure kwa makundi mbalimbali



Kampuni ya UDART inayoendesha mradi wa mabasi yaendayo kasi imepiga marufuku usafiri wa bure kwa makundi mbalimbali wakiwemo askari polisi, walemavu, viongozi wa dini na hata walimu.
Kampuni hiyo imeagiza mageti yaliyokuwa wakiyatumia yafungwe na kila mmoja alipe