Ummy Mwalimu amesema uhaba wa chanjo kwenye mahospitali nchini umetatuliwa



Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uhaba wa chanjo kwenye mahospitali nchini umetatuliwa. Asema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 85 ili kupunguza deni la MSD.
Pia amesema taarifa kuwa kuna upungufu mkubwa wa dawa katika Bohari Kuu ya Dawa si za kweli